Balozi Juma Mwapachu, Makamu wa Rais wa Society for International Development, aongea na Globu ya Jamii baada ya ufunguzi wa mkutano huo. 
 Ujumbe wa Society for International Development (SID) Tawi la Tanzania likiwa na Makamu wa Rais wa SID Balozi Juma Mwapachu (wa tatu shoto) ukiwa jijini Washington DC, Marekani, kuhudhuria mkutano mkuu wa SID (World Congress 2011) katika hoteli ya Omni Shoreham. Toka shoto ni mweka hazina wa SID Tanzania Chapter Da' Yasmin, Rais wa SID Tanzania Chapter Mh. Mahmoud Thabit Kombo, Balozi Mwapachu, Katibu Mkuu wa SID Tanzania Chapter Da'June Warioba, Mjumbe wa kamati ya utendaji wa SID Tanzania Masoud Ally Kipanya na Ankal ambaye ni Programs officer wa SID Tanzania Chapter.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...