Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Mradi wa Maji Safi kwa Afya Bora Ifakara (MSABI), Dk. Honorathy Urassa (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 34.5 za kusaidia awamu ya pili ya mradi huo. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ni; Mshauri wa Miradi Maalum wa TBL, Phocus Lasway (wa pili kulia) na Mhandisi wa MSABI, Naomi Mg'endo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni y Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (katikati) na Mshauri wa Miradi Maalumu wa kampuni hiyo, Phocus Lasway (kulia), wakitia saini mkataba wa makubaliano na Mradi wa Maji Safi na Afya Bora Ifakara (MSABI),ambapo TBL imeupatia Mradi huo msaada wa sh. milioni 34.5 za kusaidia awamu ya pili ya Mradi huo. Anayeshuhudia hafla hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSABI, Dk. Honorothy Urassa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...