MFANYABIASHARA MAARUFU WA KITANZANIA WA  MITAA YA KARIAKOO JIJINI DAR AJITOLEA KUONGOZA MAGARI KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA ULIOTAWALA KILAPEMBE YA JIJI LA DAR. WENYEJI WA HAPO KONA YA MITAA YA MAFIA NA SWAHILI WAMEMPACHIKA JINA LA TRAFIKI POLISI WA KICHINA...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    Huo ndio uzalendo wa kujitolea na kusaidia wengine kwa manufaa ya wengi.
    Hongera sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2011

    hamuna polisi wetu wanajisahau mno niaibu kufurahia hilo wakati polisi mwisho wa mwinzi wanapokea kodi za wananchi mimi na ishi nje inchi polisi wametapaka kila kona naukikohoa wako mlangoni masaa 24 wakwetu wako ofisini sikwenye vituo vao vakazi tuchapeni kazi watanzania wenzangu tukitaka nchi nyetu ifike mbali kwa mtanzania ni picha ya aibu sana kwetu tusifurahie huo huozo atakidogo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2011

    huo ni uzembe wa halmashauli ya jiji kutoweka alama za barabara ya kwamba nani anaruhusiwa kusubiri kwanza na nani anatakiwa kutangulia ni muhimu kuwepo alama ya kuonyesha ipi ni barabara kubwa na ipi barabara ndogo JIJI tafadhalini amkemkeni au mnasubiri pia mwekezaji?mdau bwegenaz

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2011

    bora usaidie kazi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2011

    huyo jamaa ni mzaliwa wa zanzibar umaarufu wa jina lake ni mchina

    jamaa ni mchekeshaji na hukodiwa kwenye shughuli mbali mbali kama za harusi yeye huwa anakaa upande wa kina mama na kuanza kuwapigia ngoma na kuimba huku akiwachekesha kwa maneno ya utani

    hongera china kwa kuonyuesha uzalendo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2011

    huyu mchina kweli kibogo anaongea kiswahili cha street hivyo na siyo achabu ajakaa hata 2yrs hapo. UK waswahili wamekaa zaidi ya miaka 15 ulaya na english bado magumashi kukitema! ahhaha

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2011

    ongera sana bana,mwenyezi mungu akubariki

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2011

    Hahaha, mchina wa kizenji huyo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 19, 2011

    Sio kila kitu ulipwe, jifunze kwa mchina huyo, usiwe mnafiki na muongo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2011

    Hongera Mchina. Kazi nzuri!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 19, 2011

    Bongo yani Mchina ndio kaamuwa sie sasa ni muda wa Kuiga angefanya mweusi waendesha magari wasingemsikiliza kudadeki ila huu ndio mfano wak uiga kama ma traficc haitaki kufanya kazi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 19, 2011

    Nimeipenda sana hii, tunataka watu kama hawa, japo mwenye gari jekundu alikuwa anadharau, hiyo ni kama dharura, wabongo tusidharau matukio ta dharura, janga likitoke hapo jiji wengi watapoteza maisha kwa ajili ya mafolini yetu. Mungu atusaidi ije tokea.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 19, 2011

    hatari tu, sidhani kama nitaweza kuendesha bongo kila. watu mikokoteni magari yote kwa pamoja

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 19, 2011

    WAKATI UMEFIKA WA WANANCHI KUJITATULIA MATATIZO MAAHA SERIKALI INASHINDWA KAZI. WATU WANAOONGOZA MAGARI SIO LAZIMA WAWE ASKARI POLISI NI KUFUNDISHWA SHERIA ZA KUONGOZA MAGARI. SIJUI TUTAJIFUNZA LINI. SIMPLE SOLTIONS FOR SMALL PROBLEMS. MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 19, 2011

    KWELI BINADAMU MUDA MWENGINE TUSISUBIRI SERIKALI AMBAYO HAISUBIRIKI... TUJITAHIDI HASA MITAANI KWETU KUSHIRIKIANA NA KUFANYA KAZI KWA PAMOJA... HUYU MCHINA SIO WALE WALIOKUJA HIVI KARIBUNI HUYU AMEKUWA ZANZIBAR TOKA MDOGO WAZEE WAKE WALIKUWA WANAUZA TAMBI. KWAHIYO MSISHANGAE KISWAHILI CHAKE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...