MFANYABIASHARA MAARUFU WA KITANZANIA WA MITAA YA KARIAKOO JIJINI DAR AJITOLEA KUONGOZA MAGARI KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA ULIOTAWALA KILAPEMBE YA JIJI LA DAR. WENYEJI WA HAPO KONA YA MITAA YA MAFIA NA SWAHILI WAMEMPACHIKA JINA LA TRAFIKI POLISI WA KICHINA...
Home
Unlabelled
TRAFIKI POLISI WA 'KICHINA'KARIAKOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huo ndio uzalendo wa kujitolea na kusaidia wengine kwa manufaa ya wengi.
ReplyDeleteHongera sana.
hamuna polisi wetu wanajisahau mno niaibu kufurahia hilo wakati polisi mwisho wa mwinzi wanapokea kodi za wananchi mimi na ishi nje inchi polisi wametapaka kila kona naukikohoa wako mlangoni masaa 24 wakwetu wako ofisini sikwenye vituo vao vakazi tuchapeni kazi watanzania wenzangu tukitaka nchi nyetu ifike mbali kwa mtanzania ni picha ya aibu sana kwetu tusifurahie huo huozo atakidogo
ReplyDeletehuo ni uzembe wa halmashauli ya jiji kutoweka alama za barabara ya kwamba nani anaruhusiwa kusubiri kwanza na nani anatakiwa kutangulia ni muhimu kuwepo alama ya kuonyesha ipi ni barabara kubwa na ipi barabara ndogo JIJI tafadhalini amkemkeni au mnasubiri pia mwekezaji?mdau bwegenaz
ReplyDeletebora usaidie kazi
ReplyDeletehuyo jamaa ni mzaliwa wa zanzibar umaarufu wa jina lake ni mchina
ReplyDeletejamaa ni mchekeshaji na hukodiwa kwenye shughuli mbali mbali kama za harusi yeye huwa anakaa upande wa kina mama na kuanza kuwapigia ngoma na kuimba huku akiwachekesha kwa maneno ya utani
hongera china kwa kuonyuesha uzalendo
huyu mchina kweli kibogo anaongea kiswahili cha street hivyo na siyo achabu ajakaa hata 2yrs hapo. UK waswahili wamekaa zaidi ya miaka 15 ulaya na english bado magumashi kukitema! ahhaha
ReplyDeleteongera sana bana,mwenyezi mungu akubariki
ReplyDeleteHahaha, mchina wa kizenji huyo.
ReplyDeleteSio kila kitu ulipwe, jifunze kwa mchina huyo, usiwe mnafiki na muongo.
ReplyDeleteHongera Mchina. Kazi nzuri!
ReplyDeleteBongo yani Mchina ndio kaamuwa sie sasa ni muda wa Kuiga angefanya mweusi waendesha magari wasingemsikiliza kudadeki ila huu ndio mfano wak uiga kama ma traficc haitaki kufanya kazi.
ReplyDeleteNimeipenda sana hii, tunataka watu kama hawa, japo mwenye gari jekundu alikuwa anadharau, hiyo ni kama dharura, wabongo tusidharau matukio ta dharura, janga likitoke hapo jiji wengi watapoteza maisha kwa ajili ya mafolini yetu. Mungu atusaidi ije tokea.
ReplyDeletehatari tu, sidhani kama nitaweza kuendesha bongo kila. watu mikokoteni magari yote kwa pamoja
ReplyDeleteWAKATI UMEFIKA WA WANANCHI KUJITATULIA MATATIZO MAAHA SERIKALI INASHINDWA KAZI. WATU WANAOONGOZA MAGARI SIO LAZIMA WAWE ASKARI POLISI NI KUFUNDISHWA SHERIA ZA KUONGOZA MAGARI. SIJUI TUTAJIFUNZA LINI. SIMPLE SOLTIONS FOR SMALL PROBLEMS. MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteKWELI BINADAMU MUDA MWENGINE TUSISUBIRI SERIKALI AMBAYO HAISUBIRIKI... TUJITAHIDI HASA MITAANI KWETU KUSHIRIKIANA NA KUFANYA KAZI KWA PAMOJA... HUYU MCHINA SIO WALE WALIOKUJA HIVI KARIBUNI HUYU AMEKUWA ZANZIBAR TOKA MDOGO WAZEE WAKE WALIKUWA WANAUZA TAMBI. KWAHIYO MSISHANGAE KISWAHILI CHAKE.
ReplyDelete