SEHEMU YA MAAKULI MARA BAADA YA HOTUBA YA MH. BALOZI |
BAADA YA HAFLA HIYO FUPI ILIYOANZA MAJIRA YA SAA SABA MCHANA NA KUMALIZIKA SAA KUMI NA MOJA JIONI ILIKUWA NI HEPI BETHIDEI YA KUZALIA KWA MJUKUU WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI MH. JAKA MWAMBI.
MTOTO DANIELA ALIYETIMIZA MWAKA MMOJA |
MTOTO AKIWA ANATEMBEA |
MAMA MZAZI WA MTOTO PROSCOVIA MWAMBI |
NAAAAM NIMEIPENDA HII KWA MHESHIMIWA JAKA MWAMBI KUTAMBUA UMUHIMU WA WASOMI WETU HASA WA WAZAWA WA TAIFA HILI KUWAPA SAPORI HIYOO NAAMINI NA VIONGOZI WENGINE WATAIGA MFANO WAKO .MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MMBARIKI JAKA MWAMBII AMEEN
ReplyDeleteTUMEIPENDA SAAAN HASA SISI WAZAWA WA KITANZANIA .TUMEFURAHI KUONA KIONGOZI WETU MHE SHIMIWA JAKA MWAMBI AMETAMBUA UMUHIMU WA SASOMI WETU KWA KUWAPA FARAJA NA MANENO YENYE BUSARA SAAAN
ReplyDeleteTUNAAMINI KUA NA VIONGOZI WENGINE PIA WATAIGA MFANOO WAKO HONGERA SAN MH JAKA MWAMBI MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MMBARIKI JAKA MWAMBI.
Imenifurahisha sana kuona Balozi wa urusi akiwapa support na kuwaalika vijana wa Taifa lake baada ya masomo yao lakini pia inasikitisha sana kwa Balozi wetu nchini India si kuwaalika na kuwapa maneno mazuri wahitimu bali pia hata akialikwa kwenye Graduation za wanafunzi wa Kitanzania huwa hafiki wala hatumi mtu yeyote kumuwakilisha, mbali na hayo kumetokea misiba ya wanafunzi wasiopungua watatu hakuja Balozi wala kutuma mtu hapa Hyderabad hii inasikitisha sana na naomba Uncle usiibanie hii huenda ujumbe ukafika, Balozi wetu wa India hawajibiki ipasavyo ikizingatiwa kuwa Watanzania wengi tunaoishi India ni Wanafunzi...
ReplyDelete