Home
Unlabelled
Video ya C-SIR MADINI (KIFUNGO HURU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli nimeikubali sana kazi ya C-Sir. Maana imenifurahisha sana. Big up huo ni mwanzo tu. Fanya kweli ili uweze kufika mbali zaidi. Ujumbe uliyokuwa ndani ya wimbo pamoja na video nimekubali kwamba wewe ni mkali.
ReplyDeleteKalley
Washington DC.
Kajitahidi sana. Wosia wangu kwake asivimbe kichwa na kwa kuanza kukimbiliwa na mashuga mami wa mjini waliokubuhu kwa kubadilisha wanaume mastaa na kujikuta anaishi kwenye single hii tu. Maana hawa huwa hawakawii baada ya kupata jina
ReplyDeleteSio siri, dogo kanichekesha sana!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKIFUNGO HURU IMETULIA TULIA SIO MWANZO MBAYA. ONGEZA BIDII
ReplyDelete