Washiriki 11 wa Shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wanaotaraji kupanda jukwaani hii leo katika ukumbi wa Hotel ya Oasis wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Hoteli ya Usambara mjini Morogoro. Kampuni ya MD Digital Company itamzawadia Miss Photogenic katika shindano hilo.
Picha zaidi GONGA HAPA FATHER KIDEVU BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...