Redds Miss Temeke 2011,Husna Twalib akiwa na milioni 2 mkononi
alizokabidhiwa kama zawadi yake ya kutwaa taji hilo.
Mkurugenzi wa Jambo Concepts,Benny Kisaka ambaye pia ni mratibu wa shindano la Redds Miss Temeke, akimkabidhi Sh milioni 2 Redds Miss Temeke 2011,Husna Twalib katika ofisi za gazeti hili. Jambo leo ilikuwa moja wa wadhamini wa shindano hilo lilofanyika mwishoni mwa wiki.
Washindi watatu wa kwanza wa shindano la Redds Miss Temeke 2011 ambao wataiwakilisha kanda hiyo kwenye shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa wameshikilia vitita vya pesa baada ya kukabidhiwa jana. Kutoka kushoto mshindi wa tatu,Mwajabu Juma,mshindi wa pili Cynthia Kimasha na mshindi Husna Twalib.Warembo Cynthia Kimasha(kushoto)na Husna Twalib wakisoma gazeti la Jambo Leo walipofika kwenye ofisi za gazeti hilo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Richard Mwaikenda
Kwanini wasipewe hundi, au risiti ya kuonyesha kuwa pesa ziko bank?badala ya fedha taslimu hadharani?
ReplyDeleteSi wangewapa cheki jamani au mnataka vibaka wawaibie?
ReplyDeletebongo tambarareeee.hela nje nje. ila warembo wetu wana bank account? manake tusiangalie upande mmoja wa shilingi. Na pia TZ watu wamezoea kutembea na hela za kumwaga bila wasiwasi wowote. nenda sehemu za starehe ndo utajua watu wanatembea na mabulungutu ya fwezaaaa.
ReplyDeleteNchi yetu bado biashara hazijakubali kupokea hundi au credit/debit card hivyo cash kwa kwenda mbali. "Show me the money"!
ReplyDeletewhy they dont give them a chq? looks cheap like that!
ReplyDeletemimi mwenzenu naangalia kufuli nyie bakini tuu na hela hela mambo yako kwa jamuuu lazima uwe sukununu
ReplyDelete