Mdau Elias Kitambi akipongezwa na Vice President of Education, Dr. Leslie Gargioulo.
Mdau Elias akipongezwa na Director of Education, John Riser baada ya kula nondozz.
Mdau Elias akiwa na mdau mwenzake kutoka Tanzania wakiwa na furaha baada ya kupata nondozz zao (BS of computer information management).
Mdau akiwa na my wife to be wake na mdau mwingine wakiwa ni wenye nyuso za furaha.
Wahitimu katika picha ya pamoja wakiwa wenye furaha baada ya kukabidhiwa nondozz.
Hi all, Hongera wadau kwa kula NONDOTH, ni vema na vijana wengine kuiga mifano hapa na wengine duniani kwani kula huku kuna manufaa kwako na kwa Taifa lako. Hongera Elias
ReplyDeleteAmiri Sheha
rifffle@yahoo.com
Hongereni saaana wadau na mmpendeza sana.
ReplyDeleteNimependezewa na comment ya mdau hapo juu. ni kweli vijana tunatakiwa tuige mifano ya Nondooz sio kuparty.