Mkuu wa Dawati la Elimu na Mafunzo kwa Umma wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Mercy Manyalika ( aliyesimama mbele) akitoa mada ya wajibu wa walimu katika mapambano dhidi ya Rushwa kwa baadhi ya walimu wanaofundisha somo la uraia kutoka Shule za Sekondari zilizopo Manispaa ya Morogoro.
Mkuu wa Takukuru wa Mkoa wa Morogoro, Stella Mpanju ( wanne kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya walimu wanaofundisha somo la uraia katika shule za Sekondari zilizipo Manispaa ya Morogoro , ambapo Taasisi hiyo kupitia dawati la elimu na mafunzo kwa umma iliwapatia semina walimu hao kuhusu wajibu wa walimu wa somo hilo katika mapambano dhidi ya Rushwa Shuleni na kwenye jamii nzima.picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2011

    Huu ni upotezaji wa muda. Sasa unawapa waalimu somo la kupambana na rushwa kwani wao ndo wala rushwa? (akina nanihii) hamuwapi hilo somo mnaona ni vizuri kuwapotezea muda waalimu????????

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2011

    Watz bwana uonevu umekidhiri, walimu walakula rushwa na wapi wanaipatia? Kwanini wasipewe hilo somo bandarini ambapo mizigo yetu inazungushwa ili tutoe chochote? au TRA, Polisi, mahakamani na wafanyakazi wote wa serikali? mbona hata kutokutenda haki ni rushwa tu hata hawa wanaotoa hilo somo nao wanahitaji somo ili wasiwaogope watu kwa vyeo au ukubwa? Waacheni waalimu kwanza waalimu hawatendewi haki Tz vipi wafanyakazi kama bank wanapewa maziwa ya kuwapelekea watoto, chai ofisini ila waalimu hawana na ndo chanzo cha kila mwenye elimu?
    Fikirini tena. Na tunahitaji kuwasikia na kuwaona mkiwafundisha department nilizotaja. Na michuzi please usinibanie hata kama nimechafua hali ya hewa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2011

    hasa rushwa ya ngono.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...