Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PeopleShome ya Ujerumani, Bwana Ulrich Kretzschmar kabla ya Mazungumzo yao, Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma leo.Kampuni hiyo inaangalia uwezekano wa kuwekeza katika Nishati Endelevu nchini. Katikati ni mwenyeji wa Mgeni huyo,mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa (kulia ) na Mbunge wa Viti Maalum Al Shaymaa Kwegyir kwenye jengo la utawala wa Bunge Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...