Hivi ni kwanini watu wengi hawapendi kufuata taratibu na sheria za barabarani??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2011

    Utafiti unaweza kupendekeza kuwa foleni zisizokwisha kila kona zinaweza kuwa kichocheo kikubwa cha uvunjifu wa sheria.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2011

    tatizo ni serikali kutojua jinsi ya kuongeza mapato.Madereva kama hawa kwa serikali makini ni mtaji wa kutosha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2011

    wajenge vizuizi vkubwa na fine iwe kubwa kwa wenye makosa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2011

    Maswali mengine ya ajabu sana Eti kwa nini Madereva hawafuati sheria barabarini.wewe uko Nchi gani??? Tanzania sheria za barabarani hakuna hata Madereva wanaendesha magari wanavyotaka.Madereva hawana DISCIPLINE wawapo barabari inasikitisha mno.sasa sijui hizo RESENI zinatolewa vipi kwa hawa ma disqualified drivers ambao wanaendesha magari ovyo ovyo.mwisho wa siku ajari hazitaisha na hii ndio TANZANIA yetu ambayo kila kitu kinaendeshwa kienyeji.Eeeh MOLA tuhurumie khaaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2011

    Bongo, sheria na taratibu gani zinafuatwa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2011

    ACHENI MANENO MENGI KWANI MNAFIKIRIA HUKO EUROPE NA AMERICA NA HUKO FAR EAST MADREREVA WOTE WANAFUATA SHERIA ZA BARABARA? MNGEKUA MNAJUA AJALI ZINAZO TOKEA HUKO NA KUUA WATU MSINGE JARIBU KUONGEA. AJALI ZINATOKEA DUNIANI KOTE SIO TANZANIA TU . SIO KILA JAMBO BAYA LIKITOKEA NA KUANZA KUILAUMU SEREKALI YA TANZANIA. Mdau toka BUJA

    ReplyDelete
  7. labda kulikuwa akuna artnenative U turn ndo maana akaona hapo katikati akuna mauwa wala vizuizi wacha apige u turn....na pia labda kulikuwa akuna saini zinazosema akuna ruhusa kufanya U turn....thats africa kila kitu twende..msimuonee bana

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2011

    Dereva wengi hawajui kanuni na sheria za barabarani. Nasema hivi kwababu wengi wao hujifunza magari uchochoroni pia hawaendi kufanyiwa majaribio kabla ya kupewa leseni. Leseni wanaletewa nyumbani tena daraja "c". Unategemea nini hapo? Hajui hata alama ya usi-overtake ni ipi?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2011

    Kwni huyo dereva kavunja sheria ipi, sioni hata sign inayomzuia kupita hapo siuna jua mafunzo ya udereva wetu leseni unaletewa baa sasa tunalaumu nini.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2011

    Sheria zipo lakini faini zinaishia mifukoni kwa trafiki.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2011

    askari wa jiji (manispaa) wako kariakoo na sehemu zenye "manufaa" hawa ndio walitakiwa kufuatilia makosa madogo madogo kama haya na kuwapa ankra za faini madereva na kuwanyan'ganya leseni zao hadi wakalipe faini, manispaa wangepata channzo kingine cha kukusanya fedha za posho...!

    lakini askari wa manispaa wanalinda kariakoo, wakitoka jioni kila mmoja keshapata posho yake, kwani posho kwa wakubwa tuu! sheria haita heshimiwa kama haitafuatiliwa. Kwanza hata elim u ya sheria hizi ni duni... Mhhh semeni tuuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...