Home
Unlabelled
Yale Yaleee....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utafiti unaweza kupendekeza kuwa foleni zisizokwisha kila kona zinaweza kuwa kichocheo kikubwa cha uvunjifu wa sheria.
ReplyDeletetatizo ni serikali kutojua jinsi ya kuongeza mapato.Madereva kama hawa kwa serikali makini ni mtaji wa kutosha.
ReplyDeletewajenge vizuizi vkubwa na fine iwe kubwa kwa wenye makosa
ReplyDeleteMaswali mengine ya ajabu sana Eti kwa nini Madereva hawafuati sheria barabarini.wewe uko Nchi gani??? Tanzania sheria za barabarani hakuna hata Madereva wanaendesha magari wanavyotaka.Madereva hawana DISCIPLINE wawapo barabari inasikitisha mno.sasa sijui hizo RESENI zinatolewa vipi kwa hawa ma disqualified drivers ambao wanaendesha magari ovyo ovyo.mwisho wa siku ajari hazitaisha na hii ndio TANZANIA yetu ambayo kila kitu kinaendeshwa kienyeji.Eeeh MOLA tuhurumie khaaa!
ReplyDeleteBongo, sheria na taratibu gani zinafuatwa?
ReplyDeleteACHENI MANENO MENGI KWANI MNAFIKIRIA HUKO EUROPE NA AMERICA NA HUKO FAR EAST MADREREVA WOTE WANAFUATA SHERIA ZA BARABARA? MNGEKUA MNAJUA AJALI ZINAZO TOKEA HUKO NA KUUA WATU MSINGE JARIBU KUONGEA. AJALI ZINATOKEA DUNIANI KOTE SIO TANZANIA TU . SIO KILA JAMBO BAYA LIKITOKEA NA KUANZA KUILAUMU SEREKALI YA TANZANIA. Mdau toka BUJA
ReplyDeletelabda kulikuwa akuna artnenative U turn ndo maana akaona hapo katikati akuna mauwa wala vizuizi wacha apige u turn....na pia labda kulikuwa akuna saini zinazosema akuna ruhusa kufanya U turn....thats africa kila kitu twende..msimuonee bana
ReplyDeleteDereva wengi hawajui kanuni na sheria za barabarani. Nasema hivi kwababu wengi wao hujifunza magari uchochoroni pia hawaendi kufanyiwa majaribio kabla ya kupewa leseni. Leseni wanaletewa nyumbani tena daraja "c". Unategemea nini hapo? Hajui hata alama ya usi-overtake ni ipi?
ReplyDeleteKwni huyo dereva kavunja sheria ipi, sioni hata sign inayomzuia kupita hapo siuna jua mafunzo ya udereva wetu leseni unaletewa baa sasa tunalaumu nini.
ReplyDeleteSheria zipo lakini faini zinaishia mifukoni kwa trafiki.
ReplyDeleteaskari wa jiji (manispaa) wako kariakoo na sehemu zenye "manufaa" hawa ndio walitakiwa kufuatilia makosa madogo madogo kama haya na kuwapa ankra za faini madereva na kuwanyan'ganya leseni zao hadi wakalipe faini, manispaa wangepata channzo kingine cha kukusanya fedha za posho...!
ReplyDeletelakini askari wa manispaa wanalinda kariakoo, wakitoka jioni kila mmoja keshapata posho yake, kwani posho kwa wakubwa tuu! sheria haita heshimiwa kama haitafuatiliwa. Kwanza hata elim u ya sheria hizi ni duni... Mhhh semeni tuuu