Katika maelezo yake Bw. Abdallah Zombe alisema kuwa anamshangaa Mbunge wa Arusha mjini,ambaye pia ni Waziri Kivuri wa Mambo ya Ndani Mh. Godbless Lema, kwa kitendo chake cha kuhoji kuhusu uhalali wa hukumu ya Zombe katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge.
Bw. Zombe alisema kuwa Mh. Lema, hajui katiba ya Tanzania. Akifafanua alisema kuwa Mh. Lema kama Mbunge/Bunge ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Mahakama pia ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Hivyo alishangaa kitendo cha Lema (MB) kuhoji maamuzi halali ya Mahakama.
Akiongeza alisema kuwa Wbunge wa CHADEMA hawajui watendalo Bungeni na aliapa kuwa endapo Chadema watapata ridhaa ya kuongoza nchi, yeye Zombe atajinyonga. "Endapo kama CHADEMA watatawala nchi hii, mimi nitajinyonga kabisa" Hiki ni chama cha hovyo na wabunge wake ni wa hovyo. Hawaijui katiba,alisema.


Alichosema Mh. Lema ni ukweli kwamba ilikuwaje DPP akamshitaki Zombe kwa mauaji wakati akijua wazi kwamba Zombe hakuua moja kwa moja? DPP alijua vyema kwamba kwa mashitaka yale lazima Zombe ataachiwa kwa mujibu wa sheria. Hiyo ndio tafsiri ya malalamiko ya Lema kwa serikali na yeyote aliyefuatilia kesi ile alijua wazi serikali imechemsha toka mwanzo!!!
ReplyDeleteHakika usemayo ndugu yangu hapo juu ni sahihi, unajua watu hawataki kutulia na kufikiri kwanza outcome ya wanachokurupukia kukijadili au kukijibu, ni sawa na Mbunge wa Chadema aliyetaka kupata muda alieleze bunge kuhusu samaki wenye sumu, lakini aliyekuwa mwenyekiti alisema tu huruhusiwi wakati hakujua ni nini hasa lilikuwa swali la mbunge, halafu baadae anasema NILIFIKIRI ANATAKA KUENDELEZA MALUMBANO, sawa sawa na yeye mheshimiwa alitakiwa ajue Mbunge alidhamiria nini wakati anachangia hoja kuhusu kuachiwa kwa mheshimiwa,abda alitaka asaidie serikali kuwa makini inaposhtaki watu, sasa ona amekurupuka na sasa anatakiwa akawaeleze polisi Lema alihusikaje na yeye mheshimiwa akiwa madarakani asimshughulikie wakati huo, aje atoe tuhuma wakati huu??? atakuwa anajua mambo mengi sana mabovu
ReplyDeletehehe eti atajinyonga zombe jinyonge basi acha kuropoka every word counts
ReplyDeleteKwa kweli alinimaliza Zombe alivyoenda mbele zaidi kwa kusema Lema alikuwa kwenye mtandao wa wizi wa magari. Hivi viongozi wetu wakoje jamani? Kwa hiyo yeye alichukua hatua gani kama kiongozi wa juu wa polisi? Au naye alinyamazishwa na 'vijisenti' vya mgao?
ReplyDeleteHivi aliyevuta "trigger" hajapatikana hadi leo??
ReplyDeleteDavid V
hapo ndio utagundua kuwa wavaa magwanda wote ni sisiemu maana jamaa hakubali kabisa kuja kutawaliwa na chadema.
ReplyDeleteZombe ukijinyonga itakuwa ni guilty conscience au unaogopa Chadema watafanya kweli. Subiri KARMA.
ReplyDeletezombe anajua fika kuwa chadema kikichukua hatam atakuwa hana haki ya kuishi uraiani tena kwa kuwa walio mnusuru watakuwa hawana nyadhifa husika kijeshi itabidi ajinusuru kwa kujinyonga mpaka hivi sasa nadhani bado haamini kama kweli amepona toka kwenye kifungo ndio maana bado anaweweseka na kauli ya Jemedari GODBLESS LEMA
ReplyDeleteZombe ni katili na mpumbavu kutamka hivyo,lazima ujue kuwa nchi sasa watu wameshaamka na hawaogopi kusema ukweli tena.Tuna mfumo wa sheria ambao ni wa kulindana na hauna aibu hata kidogo.Hivyo imefanya kuwa maisha ya raia ambaye ni masikini,au hayuko na cheo katika chama au serikali hayana maana.Tumeona Ditopile kaua mtu wazi wazi chama hakikumkemea,sheria ikamtoa lakini Mungu akamuadhibu ili kuabisha mahakama zetu na uongozi.Muda utafika sio mbali nchi yetu itakuwa ya haki.Lema hajakosea.
ReplyDeleteZombe kama CHADEMA wanaropka wewe nafikiri ni msema ovyo kuliko wao.Ukisema utajinyonga tukuelewe vipi? Mimi nijuavyo jeshi halina Chama na pia aliyeuliza swali ni Lema siyo Chadema mbona unakuwa Mkali? Ungekuwa uko right nafikiri unge kaa kimya lakini kwa vile bado una mashakandiyo maana unajiapiza. Anyway nasubiri kwa hamu siku ambayo CHADEMAwatachukua nchi nimuone Zombe akijinyona lakini hujasema utajinonga wapi hadharani au ndani? Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho kwani siku moja Wdanganyika wataamka katika usinizi mzito waliolala na hatuta shangaa kwani wengi wetu bado ni watumwa kimawazo tunaamini bila CCM hakuna aiwezaye kuiendesha Nchi
ReplyDeleteAisee mi nakuletea kamba na ole wako usijinyonge!!pumbavu!!unaleta mibwara ya dog hapa!!
ReplyDeletedaudi-manchester