Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dead on Arrival! Blog nyingine hazina maana. Endelea kupiga box.
ReplyDeletewewe blog yako haijatulia. haieleweki lengo lake hasa ni nini... ni kama vile una dump kila unachoona unawaacha wasomaji wachague the best for them
ReplyDeleteKweli wengine tumejaa chuki na wivu. Jamaa anajitahidi lakini mnachoweza kusema ni kutaka kumkatisha tamaa...nyie za kweni ziko wapi?
ReplyDeleteHii blogu imekua hewani kwa kipindi sasa na sioni tatizo liko wapi! Nani alikwambia kuna sheria unapokuwa na blogu lazima iwe ya namna fulani? Mpiga box asante sana!
ReplyDeleteKaka Fundi Kombo kazi nzuri! Waache Watanzania na wivu na chuki zao, nadhani ndiyo sababu bado tuko nyuma...
ReplyDeleteHivi kwa nini sisi Wabongo tunakuwa na mawazo kwamba walio nje wote ni wapiga box? Nasikia huyu jamaa ana kazi yake nzuri. Muacheni na shughuli zake na aendelee kuendeleza...
ReplyDelete