ALIZALIWA SEPTEMBA 7th, 2008
SEPTEMBA 2011 BADO ANADUNDA...
FundiWaKombo
ChampagnePOP.jpg

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Dead on Arrival! Blog nyingine hazina maana. Endelea kupiga box.

    ReplyDelete
  2. wewe blog yako haijatulia. haieleweki lengo lake hasa ni nini... ni kama vile una dump kila unachoona unawaacha wasomaji wachague the best for them

    ReplyDelete
  3. Kweli wengine tumejaa chuki na wivu. Jamaa anajitahidi lakini mnachoweza kusema ni kutaka kumkatisha tamaa...nyie za kweni ziko wapi?

    ReplyDelete
  4. Hii blogu imekua hewani kwa kipindi sasa na sioni tatizo liko wapi! Nani alikwambia kuna sheria unapokuwa na blogu lazima iwe ya namna fulani? Mpiga box asante sana!

    ReplyDelete
  5. Kaka Fundi Kombo kazi nzuri! Waache Watanzania na wivu na chuki zao, nadhani ndiyo sababu bado tuko nyuma...

    ReplyDelete
  6. Hivi kwa nini sisi Wabongo tunakuwa na mawazo kwamba walio nje wote ni wapiga box? Nasikia huyu jamaa ana kazi yake nzuri. Muacheni na shughuli zake na aendelee kuendeleza...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...