Baraza la mji wa Zanzibar limeanzisha zoezi la kuzifunga kwa kofuli gari zote zinazoegeshwa katika maeneo yasiyoruhusiwa na baada yake hutozwa fidia kwa anaetenda kosa hilo Ankal usiweke gari lako hapo yatakukuta yaliyomkuta dereva wa gari hilo la Suzuki Escudo katika eneo la mji mkongwe.
PICHA NA MDAU WAKO:ZANZIBARCARHIRE.COM
Home
Unlabelled
aluta kontinyua na mambo yale yaleeeeeee.....safari hii Zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...