Uongozi wa Shule za Marian Bagamoyo unawakaribisha wote kwenye Fundraising hii
ya Kujenga na kuendeleza Shule hizi.

Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba

Wazazi,wanafunzi wa zamani,wenyeji wa Bagamoyo na wote wale wenye Mapenzi mema mnakaribishwa sana sana SEPTEMBA 4, 2011 ukumbi wa Diamond Jubilee Hall  jijini Dar es salaam saa Moja jioni.

Asanteni!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...