1. Hakuna habari ama picha inayowekwa kapuni baada ya kuonekana ukurasa wa kwanza. inahamia ukurasa wa pili ama wa tatu kutokana na wingi wa habari na picha kwa siku.
2. Kuingia ukurasa unaofuata nenda chini kabisa kulia bofya penye 'Habari Zilizopita' utakuwa umepatia
3. Kutafuta habari kwa jina la mtu, sehemu, ama tukio angalia juu kulia na juu ya picha ya Ankal utakuta maneno 'Tafuta chochote hapa' ndani ya kisanduku. Weka mshale wako hapo hayo maneno yatapotea kishwa weka jina la mtu ama kitu ama tukio utavipata bila kelele wala mikwaruzo.
4. Anza namba moja. Hapa hakuna masharti wala vigezo vya kuzingatia. Wewe ni kubofya kwa kwenda mbele kuendelea kufaidi mambo ya Globu ya Jamii.
Libeneke Oye!



Oyeee, ,Asante ankal.
ReplyDeleteTehteh Ankal anakazi kwelikweli watu wadau wa ankal lazima tunajuwa kuna kuendelea na kuna bulogu ile ya matukio pia libeneke linaendelea.
ReplyDeleteHahahaaa tehe tehe tehe. Ankal unatisha ankal. nilikuwaga siyajui haya. Aksante ankal.
ReplyDeleteNdimi mdau wa Salamaleko