1. Hakuna habari ama picha inayowekwa kapuni baada ya kuonekana ukurasa wa kwanza. inahamia ukurasa wa pili ama wa tatu kutokana na wingi wa habari na picha kwa siku.

2. Kuingia ukurasa unaofuata nenda chini kabisa kulia bofya penye 'Habari Zilizopita' utakuwa umepatia

3. Kutafuta habari kwa jina la mtu, sehemu, ama tukio angalia juu kulia na juu ya picha ya Ankal utakuta maneno 'Tafuta chochote hapa' ndani ya kisanduku. Weka mshale wako hapo hayo maneno yatapotea kishwa weka jina la mtu ama kitu ama tukio utavipata bila kelele wala mikwaruzo.

4. Anza namba moja. Hapa hakuna masharti wala vigezo vya kuzingatia. Wewe ni kubofya kwa kwenda mbele kuendelea kufaidi mambo ya Globu ya Jamii.

Libeneke Oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Oyeee, ,Asante ankal.

    ReplyDelete
  2. Tehteh Ankal anakazi kwelikweli watu wadau wa ankal lazima tunajuwa kuna kuendelea na kuna bulogu ile ya matukio pia libeneke linaendelea.

    ReplyDelete
  3. Hahahaaa tehe tehe tehe. Ankal unatisha ankal. nilikuwaga siyajui haya. Aksante ankal.

    Ndimi mdau wa Salamaleko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...