Home
Unlabelled
Answaar Sunna waswali swala ya Eid katika viwanja vya Jangwa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eid Mubaraq!Eid Mubaraq!Eid Mubaraq!SAFI SANA MLOSWALI JANGWANI!KWANI NI KWELI LEO NDIO EID YA DUNIANI KOTE,HAO BAKWATA EID YAO SIKU ZOTE HUWA YA PEKE YAO,NASHANGAA HAPO HUWA WANABISHA NINI,,KWANINI HIJJAH HUWA HAWAFANYI KIVYAO?MAANA TAREHE KAMA INAPISHANA HIVYO NA HIJJHA YAO ITAANGUKIA KIVINGINE TOFAUTI NA MAKKAH!MWAKA HUU NILIKUWA NIMEFURAHI SANA KUFUNGA WOTE KWA PAMOJA WALA SIKUTEGEMEA KUWA WAKISIKIA MWEZI WA EID FITR WATAKUWA WAKAIDI KUFUATA!HII MNAWABORE SANA WAUMINI MASIKINI,,,,,NAJUWA KESHO KATIKA TV'S NA REDIO KAWAIDA HUWA MNATANGAZA'WAISLAM WOTE DUNIANI MNASHEREKEA EID WAKATI NI LEO,BORA MUWE MNATANGAZA LEO NI EID YA BAKWATA ILI MTU ACHAGUE EID GANI YENU BAKWATA?AU YA DUNIA NZIMA NA KIONGOZI AKIWA NDIO MAKKAH MJI MTUKUFU ALIKOZALIWA NABII MUHAMMAD (S.A.W)?
ReplyDeleteJAMANI BAKWATA ACHENI HUWO UKAIDI MAKKAH NA TANZANIA HATUPISHANI HATA SEKUNDE MOJA KAMA NI SAA MOJA MAKKAH NA TANZANIA NI HIYO HIYO MOJA KAMILI!ACHA KUKUFULISHA WATU WALIOJIFUNGIA MWEZI MZIMA NA SIKU NYINGINE HUWA MNAWACHELEWESHA RAMADHANI WANAFUNGA BAADA!
!!!!!!!AHLAM,,,UK
Mdau wa kwanza tupe "AYA" au "HADITH SAHIHI" inayosema sote dunia nzima tufunge siku moja. Usilinganishe Ramadhani na Hijja. Hijja inafanyika sehemu moja tu duniani. Pia watu kila mtu anasali kwa wakati wake kwa mujibu wa nchi yake. Quran inasema hija inafanywa Makka tu tena kwa mtu mwenye uwezo.
ReplyDeleteMdau Ukerewe
samahani,wenzangu kwa yeyote mwislamu naomba anieleweshe,kwani idi lini?leo au kesho?maana sielewi suna wala sijuwi kingine nini,kwa nini dini ya kiislamu iwe na matabaka mawili?kwani hao walioshehelekea idi leo ni waislam wa wapi?
ReplyDeleteSouth africa idi ni kesho! Acheni uzushi wa kuwasingizia bakwata! kuna nchi kibao hawafuati saudiarabia.
ReplyDeleteKenya Iddi ni Kesho!!!
ReplyDelete