Da' Devotha akiwa na mai hazbend wake Rogers mara baada ya kumeremeta kwenye hoteli ya Golden Tulip hivi karibuni.

kwa picha zaidi za harusi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza, huyu ni dada Devotha aliyekuwa mke wa Marehemu mtoto wa Dandu? Naombeni jibu

    ReplyDelete
  2. bwana harusi hakwenda saloon, kidevu kichafu!!!! Loh

    ReplyDelete
  3. makeup ya dada ni nzuri mno.... wabongo igeni kama hivi sio mnajaza mpaka mtu hupendezi tena hata nguo za waliomsimamia zote ni za rangi poa devota mshukuru aliyekusaidia kwenye swala la mavazi....

    shem sitaki kumchambua nakuachia wewe dada yetu hongera sana tena sana

    HATERS FALL BACK

    ReplyDelete
  4. Samahani wadau huyu Devotha ni nani au ni mtoto wa mkubwa gani hapa tanzania. maana naona harusi ilivamiwa na wakubwa wa nchi

    ReplyDelete
  5. la kweli uzuri unaonwa na auonae, hii fasheni ya kuolewa na wazungu bora mzungu la, kaka zetu mbona wazuri mara elfu lo, au tabia kaka zetu mbaya la la

    ReplyDelete
  6. hongera mama, na mimi nasaka mdhungu jamani wanaume wa kibongo wamenichosha! lakini huyu ndo alikuwa mke wa marehemu James Dandi. nijuzeni mwenzenu.

    ReplyDelete
  7. Debora umependeza mwenyewe, na smile yako safi. Unasmile peke yako ila shemeji uso wa mbuzi tu..duh! Hongereni lakini nakutakieni maisha mema!!

    ReplyDelete
  8. Ha, hapo sister naona hataki mchezo. Kajitwalia mtasha!! Hongera!

    ReplyDelete
  9. ndo mambo ya utandawazi. the muzungu factor in full throttle

    ReplyDelete
  10. serengeti boys is over now

    ReplyDelete
  11. Hongera dada yetu muishi kwa amani na upendo.
    Hivi kumbe hata mazeruzeru wanataka makaratasi ya bongo au?
    mimi nilidhani ni sisi tu wabeba box ndio tunakula karatasi kwa stail hii.

    ReplyDelete
  12. mbona kama babu yake jamaani njaa zitatuua

    ReplyDelete
  13. Mbona hakuna mwenye jibu? Hata ankal hujui kama ndio aliyekuwa mke wa Mtoto wa dandu? Kama ndiye bado kifaa jamani, hazeeki, maana dandu alipokufa alimwacha na umri wa miaka 28, na sasa ni karibu miaka 10 toka amekufa,. Mzuri sana sana sana, ila shem, mh, labda ubora wake unapatikana kwenye rangi tu.

    ReplyDelete
  14. alikuwa mke wa dandu ndio,make up maznat kama kawa,pia wamependeza sana wanaume wa kibongo presha tupuuuuuuuuu khaaaaaaa hawafai basi tuu

    ReplyDelete
  15. Njia rahisi ya kuingia ughaibuni hiyooooooooooooooooooo!!

    ReplyDelete
  16. Jamani mwacheni apumue alishaolewa na james dandu mungu amlaze mahali pema bongesha la handsome, sebuyoya naye..ukweli ni kwamba vijana wa kitanzania sikuhizi wanapenda kulelewa sana na hata ukimlea mwisho wa siku hautakuwa na maana wallah tena...you rock woman...clean marriage for three times...damn!!! you rock!!! hao wanaotoa vicomment vya kijinga hata hiyo moja wanayo au ndo wamepata wa kuwalea mijini?? Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kwa waislam wenzangu RAMADHANI KAREEM!!!

    ReplyDelete
  17. Mama hongera,umependeza kiasi lakini mbona shemeji yangu amesahau tena kunawa uso nakutengeneza nywele?Yaani amekuwa kama sululu.hongereni sanaaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...