Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi , Abdalla Mwinyi Khamis akizungumza katika hafla ya kuwatunuku nishani wanariadha wa Zanzibar walioshinda katika mashindano ya kanda ya tano mwishoni mwa mwezi wa sita Jijini Dar-es-salaam, hafla hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA -Zanzibar) ilifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View jana
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar (BTMZ) Sherry Khamis akitoa nasaha zake kwa Wanamichezo mbali mbali waliokuepo katika hafla ya kuwazawadia wanariadha walioshinda katika mashindano ya kanda ya tano yaliofanyika mwishoni mwa mwezi wa sita Jijini Dar-es -salaam.ambapo vyama vya michezo vipatavyo 30 vilikuepo katika hafla hiyo, iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA -Zanzibar) iliyofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View jana
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi Khamis akimvisha nishani Maulid Khamis katika hafla ya kuwatunuku wanariadha wa timu ya Taifa ya Zanzibar walioshinda mashindano ya kanda ya tano yaliofanyika Jijini Dar-es-salaam mwishoni mwa mwezi wa sita hafla hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA-Zanzibar ) na kufanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View jana.
:MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi Khamis akimvisha nishani Nasiria Hashir katika hafla ya kuwatunuku wanariadha wa timu ya Taifa ya Zanzibar walioshinda mashindano ya kanda ya tano yaliofanyika Jijini Dar-es-salaam mwishoni mwa mwezi wa sita hafla hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA-Zanzibar ) na kufanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View jana.
WANARIADHA na waalikwa mbali mbali wakipata chakula katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA-Zanzibar) kwa ajili ya kuwatunuku wanariadha walioshinda katika mashindano ya kanda ya tano yaliofanyika mwishoni mwa mwezi wa sita Jijini Dar -es-salaam,hafla hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar ( TASWA-Zanzibar ) na kufanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View jana. ( Picha na Haroub Hussein)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yale yale Mkutano wa wake wa marais wa Afrika wakutana Marekani/Ulaya.

    ReplyDelete
  2. Hivi hakuna vijana? mbona mkuu wa mkoa ni mzee sana?..hakika nchi za Africa ni kiboko!!...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...