Google Street View ni teknoljia iliyomo katika Google Maps na Google Earth inayokupa taswira kutoka mitaa mbalimbali duniani. Ikiwa imeanzishwa mnamo Mei, 25, 2007 hivi sasa Google wanakupatia picha halisi kwenye mtandao kama kwamba umepiga wewe. Kwenye mitaa ya kawaida hutumika magari yenye kamera kama hilo hapo juu. Kwenye barabara finyu ama njia za waendao kwa miguu tu kuna baiskeli maalumu kwa kazi hiyo. Hapo ilikuwa jana wakati ankal alipokutana na gari hiyo mitaa ya Washington DC.
Home
Unlabelled
gari la kubeba kamera ya google maps street view jijini Washington DC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...