Aliekuwa kocha wa Team ya Pazi Basketball Club miaka ya 1982-1984 Bw. Keith Buxton (pichani), amefariki dunia juzi katika ajali ya gari.

Mazishi yanategemewa kuwa jumamosi hii Aug 6 2011 huko Philadelphia.
Nitawatumia habari zaidi kuhusu mazishi na address kamili. (Kwa walio karibu na huko wanaotaka kwenda kwenye mazishi.)

Kwa Niaba ya Pazi Basketball Club.
 H.A.Khalid - Maryland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Abdallah EzzaAugust 03, 2011

    INNA lILLAHI WAINNA ILAIHI RAAJIUUN. Mwenyeezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
    Buxton alichangia kiwangu kikubwa sana katika kukuza basket Tanzania. Rambirambi kwa familia ya buxton na Pazi wote wa miaka ya themanini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...