Mtoto Michelle Raymond akimlisha keki rafiki yake,Enid Mollel ambaye alikuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwao Kaloleni jijini Arusha juzi(picha na moses mashalla
Mtoto,Enid Mollel akimlisha keki mama yake,Magreth Olotu wakati akisheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza umri wa miaka 11 iliyofanyika nyumbani kwao eneo la Kaloleni jijini Arusha.
Ndugu,jamaa na marafiki wakimpongeza mtoto,Enid Mollel(aliyevalia nguo nyeusi(baada ya kutimiza umri wa miaka 11 wakati akisheherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwao juzi eneo la Kaloleni jijini Arusha.
Mtoto Enid Mollel akikata keki wakati akisheherekea siku yake ya kuzaliwa


hongera magreth kwa kukuza jamani Enid amekuwa mdada. happy birthday Enid
ReplyDelete