Mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, Iman Pinto, akikata keki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka minne ya kuzaliwa kwake, mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akikata keki tayari kumlisha mwanawe Iman.
 Imani akimlisha keki Bibi mzaa baba
 Iman akimlisha keki mamake mzazi Queen Komanya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Happy birthday my darling baby Iman. Love you, God bless you & grant you many more.

    ReplyDelete
  2. HAPPY EID MUBARAK AL MUFTI SHEIKH JUMAAA BIN JUMAAA BIN PINTO. HAPPY BIRTHDAY IMAAAN BINTI JUMAAA BINTI PINTO. FURAHA EID MUBARAK NA SIKU YAKO YA KUZALIWA IMEANGUKIA KWENYE SIKU KUBWA YA EID EL FITR.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...