Unakaribishwa katika ibada maalum ya maombi, mahubiri na nyimbo za injili itakayo fanyika Jumamosi tar. 27.08.2011 kuanzia saa 7:30 mchana, hapo New Vincent's Restaurant, 288-290 Oxford Road, Reading.
'...Kwa maana Bwana, Mungu wako, yeye ndiye anaekwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha.'
Kumbukumbu la Torati. 31:6.
Karibu ili ubarikiwe!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...