Kutokana na hali ya kutokuwepo kwa Umeme wa Tanesko katika kijiji cha Kilangala,Mkoani Lindi.Kinyozi huyu ambaye anaonekana anaipenda kazi yake ameamua kuiendeleza kazi yake hiyo kwa kutumia Umeme wa Sola kama mashine zake zinavyoonekana hapo juu.

Moja ya Nyumba zilizopo pembezoni mwa Fukwe ya Bahari ya Hindi,iliyopo katika mji wa Lindi kama ionekanavyo.
Mtaa wa Ghana mjini Lindi.
Sehemu ya Kip left ya mji Lindi kama inavyoonekana leo huku kwa mbele kule ni jengo la Benki ya CRRD.
Sijawahi kufika Lindi lakini nimependa mandhari ya huko kusini. Bado panaonekana virgin if you know what i mean.
ReplyDelete