Bw. Harusi ambaye ni afisa ardhin wailaya ya Ludewa Joseph kamonga akiwa amemnyanyua mai waifu wake Dostea chalamila baada ya kumeremeta huko Ludewa Jumamolsi hii
Joseph na Dostea wakifungua dansi wakati wa mnuso wao ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Ludewa usiku wa kuamkia leo
Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe (kulia) na katibu wake wakiwa ndani ya ukumbi wa harusi ya afisa ardhi wilaya
MC Mgongolwa akiwajibika ndani ya ukumbi
Bwana harusi Joseph (kulia) akicheza na msanii Yaki ndani ya ukumbi wa CCM wilaya ya Ludewa. Picha zote na Francis Godwin



WanaLudewa mkoo juu sana. Atleast tunawaona ktk mtandao. Wapeni salamu wooote akina Dallu,Madeda, Sungwana, Ismail, the Andondile and many more.
ReplyDeleteToka
Hongera sana brother. I wish ningekuwepo! All da best katika maisha mapya.Wasalimie wote. Kweli dunia sio kijiji tena, it's a global lounge.
ReplyDeleteKaribuni katika ulimwengu wa 1+1=1. Hongereni kwa kutoka katika steji ya machaguo mengi na kufikia steji ya machaguzi ya joseph na dorotea tu. Kila laheri na maisha mema posted by daudi kumburuKaribuni katika ulimwengu wa 1+1=1. Hongereni kwa kutoka katika steji ya machaguo mengi na kufikia steji ya machaguzi ya joseph na dorotea tu. Kila laheri na maisha mema posted by daudi kumburu
ReplyDelete