Ofisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Daniel Sagata akiwaelemisha wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kijiji cha Matumaini Mkoani Dodoma kuhusu Masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi wakati walipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya ,Nzuguni Mkoa wa Dodoma.{Picha na Ali Meja] .
Home
Unlabelled
wanafunzi wapewa somo juu ya masuala ya mabadiliko ya tabianchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...