Katibu wa Mtandao wa Askari wa kike mkoa wa Arusha,Mwery Mgola akiwaelekeza jambo wanafunzi waliotembelea banda la haki za wanawake na jinsi wanawake wanavyoweza kupambana na unyanyasaji katika banda lao lililopo katika maonyesho ya kilimo ya nane nane yaliyopo katika viwanja vya themi njiro mkoani Arusha.(Picha na Woinde Shizza)
Home
Unlabelled
Katibu wa Mtandao wa Askari wa kike mkoa wa Arusha atoa somo kwa wanafunzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...