MAENDELEO YA MSIBA,DC.
HARAMBEE
Macrina Samaka enzi ya uhai wake

Watanzania wenzangu,DMV,tumepatwa na msiba,ndugu yetu,dada yetu,Mtanzania mwenzetu hatunae tena tangia Jumamosi  jioni ya July 30,2011.

Gharama za kusafirisha mwili wa marehemu Tanzania ni $9,000/,mpaka sasa hali sio nzuri kimichango,kwa wakaazi wa DMV,Leo Jumamosi July 6,2011 tutakua na HARAMBEE ya kukusanya pesa za kuusafirisha mwili wa marehemu,Macrina Tanzania.

Harambee itakua saa 9 alasiri(3:00pm). itakayofanyikia nyumbani kwa Arthur Gao

4303 FRANKFORT DR,
ROCKVILLE,MD,20853

Kifo hakina mmoja leo Macrina,kesho ni mimi na wewe, mshikamano wako,umoja wetu na moyo wa upendo tuliokua nao kama Mtanzania unaejivunia Nchi yako na kila Mtanzania ni ndugu yako,chochote ulichokua nacho kitasaisia.

WATANZANIA WALIOPO NJE YA DMV,TUNAOMBA MICHANGO YENU KWA KUPITIA Routing #055003201-A/C #1010323780193-WACHOVIA BANK-Arthur Gao/Memorial Funds a/c for Macrina Samaka.

 kwa mawasiliano

Afisa Ubalozi,Abass Misana-202 378 8066
Rasheed Mkakile-240 938 3177
Arthur Gao-240 408 1422
Magrette Wahida-301 915 5821
Dj Luke Joe-301 661 6696
Malecela(New York)-914 473 1033
Boston(MA)
Juliana-413 330 3891
Abela- 781 913 2107
Suzie-617 306 1645
Houston,TX
Georges Assenga-713 894 9403
Wichita,KS
Erick Tagalile
316 993 0843

MWENYEZI MUNGU AMETOA,MWENYEZI MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE,
AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. 'Only saw you at chuch once in a while.. didnt get a chance to really know you... may you soul rest in eternal peace!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...