Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Hamad Rashid, wakati walipokutana nyumbani kwa Makamu mjini Dodoma hivi karibuni. Katikati ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA WAWI HAMAD RASHID MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...