Mdau ambaye ni mkuu wa ofisi ya United Nations Office for Coordination for Humanitarian Affairs nchini Papua New Guinea,Ndg Ruger Kahwa (Kati) akiwa na Rais wa Autonomous Government of Bougainville Mr John Momis (Kulia) na Mtaalam wa masuala ya katiba na usuluhushi (Kushoto), Mara baada ya semina ya kuangalia mustakabali wa mkataba wa amani kati ya Paua New Guinea na Visiwa vya Bougainville baada ya miaka kumi. Semina iliyofanyika kisiwani Bougainville.
Home
Unlabelled
Mdau Kahwa ashiriki semina ya kuangalia mustakabali wa mkataba wa amani kati ya Paua New Guinea na Visiwa vya Bougainville
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...