Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mwenye tai ya zambarau) akizungumza na wasanii mbalimbali wa Idara na Taasisi zinahusika na Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni  kwenye viwanja vya Bunge. Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tehe!

    Huyo mwanaume aliechuchumaa ndo yule mwalimu kwenye Tangazo la HakiElimu anaefundisha somo la Kompyuta, Siipiiyuu na Sikirini, pia lile la Engish Pliiizzzzzzz.

    Anajitahidi.

    ReplyDelete
  2. Hawa kweli wasanii. SI walikuwa Dodoma juzi juzi? Walosahau nini tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...