Kundi la Utamaduni likitumbuiza katika sherehe hizo
Sehemu ya zana za kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar, Affan Othman Maalim (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua promosheni ya ''Badilisha Maisha na Kilimo Kwanza' katika hafla ya uzinduzi wa promosheni hiyo iliyofanyika leo kwenye Ofisi za Mradi wa Kilimo Kwanza wa SUMA JKT, Mwenge jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya SUMA JKT, Meja Jenerelai Mstaafu Ligate Sande na Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Samwel Kitundu na Mkurugenzi wa SUMA JKT, Kanali Ayoub Mwankang'ata. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...