Ankal katika mahojiano maalum na Rais wa Society for Internationa Development (SID) Tanzania Chapter siku ya mwisho ya mkutano mkuu wa chama hicho kimataifa (SID) World Congress 2011 wikiendi ilopita katika hoteli ya Omni Shoreham jijini Washington DC, Marekani. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
rais wa SID Tanzania Chapter mh. Mahmoud Thabit Kombo aongea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Nashukuru kaka michuzi, nimefurahishwa sana kuona maoni mbali mbali ya rais wa SID, ila pia kuna mambo mengi naona pia hayajagusia kuhusiana na maendeleo ya watanzania na namna gani ya kuongeza ajira kwa vijana. Mimi ni mwanafunzi ambae nasoma Malaysia, nina mambo machache ningependa kuongezea "ideas" kwa rais wa SID ila sijui nitafika vipi ama kuwasiliana vipi. Au hii ni kwaajili ya wanafunzi wa Tanzania wanaoishi Europe tu??? Nashukuru kwa muda wako kaka michuzi
ReplyDelete