Ankal katika mahojiano maalum na Rais wa Society for Internationa Development (SID) Tanzania Chapter siku ya mwisho ya mkutano mkuu wa chama hicho kimataifa (SID) World Congress 2011 wikiendi ilopita katika hoteli ya Omni Shoreham jijini Washington DC, Marekani. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nashukuru kaka michuzi, nimefurahishwa sana kuona maoni mbali mbali ya rais wa SID, ila pia kuna mambo mengi naona pia hayajagusia kuhusiana na maendeleo ya watanzania na namna gani ya kuongeza ajira kwa vijana. Mimi ni mwanafunzi ambae nasoma Malaysia, nina mambo machache ningependa kuongezea "ideas" kwa rais wa SID ila sijui nitafika vipi ama kuwasiliana vipi. Au hii ni kwaajili ya wanafunzi wa Tanzania wanaoishi Europe tu??? Nashukuru kwa muda wako kaka michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...