Redds ilishiriki Kikamilifu Siku ya Miss Tanzania 2011 Family Day iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Giraffe,Kunduchi jijini Dar.Ambapo warembo hao walifanikiwa kukutana na wazazi wao na kubadilishana mawazo mbali mbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...