Ankal akiwa Bungeni  leo na Kanali Mohamed wa Jeshi la wananchi ambaye yuko Dodoma kusikiliza kinachoendelea bungeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu afande amefikia cheo cha ukanali na umri wake mdogo hivi? Mwenye CV yake atuwekee tafadhali.

    ReplyDelete
  2. Huyu afande nakumbuka tulisoma naye Tabora Boys hadi Form6. Baadaye alichukua BSc Computer Science (Egypt), Masters UK, Masters in Defence Strategy US, Masters Defence Management (S. Africa) na kozi zingine za kijeshi. Kwa sasa yupo mjengoni Magogoni akimshauri kiranja mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...