Hili ni jengo la shirika la habari Tanzania miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haieleweki mmiliki wake na nani anachukua pango la maduka hayo imekua ni kitendawili.
Ofisi hakuna tena jengo lote limetawaliwa na maduka Kila kona.
Mlango unaonekana hapo umefungwa ndicho chumba cha mikutano mbali mbali.
Hivi ndivyo Jengo lilivyo choka hakuna anaejali hata kidogo na haijulikani lipo chini ya nani paka muda huu na linaendelea kuoza kadili siku zinavyo sogea.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...