Marehemu Mayline Elizabeth Kihulla (Mama Jesca)

Familia ya Mzee Marko Kihulla wa Kawe Dar es Salaam, wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa ushirikiano wao katika kipindi cha kumuuguza mtoto wao, dada yao mpendwa Mayline Elizabeth Kihulla (Mama Jesca) mpaka mauti yalipomkuta tarehe 2/6/2011 pale Agakhan Hospital.

Familia inapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wote katika misa ya kumwombea marehemu kijijini kwao Mandera Zavuza Kiva – Handeni, Tanga tarehe 6/8/2011. 
Wote mnakaribishwa. 

“BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...