Gari la Abiria lifanyalo safari zake kati ya Njia panda ya Nangurukuru kuelekea Kilwa Njinjo mpaka Liwale,likiwa limekula nyomi la maana.hali ya usafiri katika barabara hii haiko vyema sana japo njia haiko vibaya sana kwani ipo katika kiwango cha moram. 
Wakazi wa Kijiji cha Njinjo kilichopo katika mji wa Kilwa (kilometa 68 kutokea kutokea njia panda Nangurukuru) wakiwa njiani kuelekea hospitali ya wilaya ya Kilwa,iliopo Kilwa Kivinje kwa usafiri wa Baskeli. 
Hiki ndicho kipande chenye kiwango cha lami kutokana na kona kali sana zilizopo katika mlima huu,kwenye barabara kuu ielekeayo Liwale,Mkoani Lindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...