Kulia ni Eprahim Kibonde,Wasi Wasi Mwabulambo pamoja na Arnod Kayanda.

Timu ya Jahazi ya Clouds Fm inayofuraha kuwatangazia wadau wote wa Jahazi njia mpya na nzuri ya kutoa maoni wakati mijadala mbali mbali inapoendelea ndani ya Jahazi la Clouds Fm.

Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi jioni hadi saa 1 (4pm-7pm).

Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 kushiriki na kushiriki Andika JAHAZI acha nafasi harafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774.

NB: Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu na hakuna malipo ya aina yeyote ila yatatozwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wekeni huduma hii online pia....wengine si tunasikilizia online huku ughaibuni...au mmetusahau!!

    ReplyDelete
  2. Olewenu ni katwe pesa,nitawaburuza mahakamaniOlewenu ni katwe pesa,nitawaburuza mahakamani

    ReplyDelete
  3. Wajameni hivi ni harafu au halafu mbona tunasungumsa kikurya kwenye glongo cha jamii. Eti WEE Chibonde chaidia basi

    ReplyDelete
  4. Hakuna malipo ya aina yoyote ILA YATATOZWA- Hapo kunausanii... Lazima unakatwa vocha hapo angalia statment baada ya "ILA"

    ReplyDelete
  5. WATU WA FACEBOOK INAKUAJE?? NAOMBA MTUELEWESHE HAPA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...