Gari no T554 AVZ linalofanya safari kati ya msamala na soko kuu mjini Songea likiwa limeacha njia na kutumbukia katika mtaro pembezoni mwa barabara kuu ya songea makambako katika eneo la Bombambili mjini Songea, ambapo watu watano  walijeruhiwa. Picha na mdau Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Songea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...