Bondia Mussa Omari wa songea kushoto,akimpiga ngumi bondia Mohamed Matumla kulia ambaye ni mdogo wa bondia mkongwe rashid matumla katika pambano lao lisilokuwa na ubingwa wowote lililofanyika katika uwanja wa majimaji siku ya Idd el fitri mjini songea jana,ambapo mabondia hao walitoshana nguvu kwa kutoka sare
Bondia Mohamed Matumla,mdogo wa bondia mkongwe hapa nchini Rashid matumla wa Dar es salaam akiwa ameanguka chini kufuatia kupigwa konde na bondia Mussa Omari wa Songea katika pambano lao lisilokuwa na ubingwa wowote lilofanyika jana katika uwanja wa wa majimaji mjini Songea.PICHA NA MUHIDIN AMRI,GLOBU YA JAMII.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...