Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ok atleast mpaka sasa tumeshapata idea toka both side ya Kikwete pamoja na ya lisa and Albwady investment,sasa tunasubiri maelezo kuhusu ubalozi wa Marekani,Tanzania inabidi wamshtaki huyu mpuuzi former Ambassador kwa kuchafua jina la nchi yetu,ni sawa wanatusaidia lakini hatupo tayari kupoteza utu na thamani yetu kwa kukubali kuzushiwa kashfa za kipumbavu,eti kuhongwa Suti President.Hata balozi wa nyumba kumikumi atakutolea nje.
    Thanks
    Mdau Usa

    ReplyDelete
  2. They can fabricate anything unawachezea akina Bush. Huyo albadawy ataambiwa akubali au atafilisiwa mali zake zote. Na huyo Lise kama hajali mtutu bahati. Tuombe Mungu tuko baharini papa wengi huwezi kuwaepuka. Utamezwa tu. Ee mungu tunusuru na balaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...