Ofisa wa Dawati la Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Jesca Kamugisha (mbele) akitoa somo kwa Askari watarajiwa wa Jeshi la Mgambo wa Manispaa ya Morogoro,wakiwa ni wadau wa mapambano dhidi ya Rushwa, kama walivyokutwa eneo la Viwanja vya Gofu mjini hapa wakipewa dozi hiyo.Picha na John Nditi.
Home
Unlabelled
ASKARI MGAMBO WA MKOANI MOROGORO WAPIGWA MSASA NAMNA YA KUMBANA NA RUSHWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii kweli BOngo! Unategemea Askari hao watakuwa na uelewa gani kama hadi seminer kuhusu jambo muhimu kama Rushwa inafanywa chini ya Miti!!!!!!! kaazi kweli kweli
ReplyDelete