Mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mhe, Job Ndugai, (kushoto) akiwasili jana katika ofisi ndogo ya Bunge Zanzibar eneo la Tunguu tayari kwa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi. Kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Bw. Ibrahim Mzee na Afisa Mfawidhi wa ofisi ndogo ya Bunge Zanzibar Bw. Ramadhani Issa.
 Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi (Katibu wa Bunge) Dkt Kashililah akiendesha kikao cha kamati Tendaji ya Baraza hilo kabla ya kikao cha baraza kuanza.
 Wajumbe wa kamati Tendaji
Mgeni rasmi  akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi
Kwa picha zaidi na habari tembelea www.prince-minja.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...